IQNA

Msikiti mkubwa wazinduliwa katika Medani ya Taksim mjini Istanbul, Uturuki

TEHRAN (IQNA)- Maelefu ya waumini wamejitokeza katika medani ya Taksim kati kati ya mji wa Istanbul nchini Uturuki jana Ijumaa ambapo walijiunga na Rais Recep Tayyip Erdogan katika uzinduzi wa msikiti mpya. Ujenzi wa msikiti huo wenye uwezo wa kubeba waumini 2,250 ulianza mwaka 2017.
 
 
 
Kishikizo: uturuki ، picha ، erdogan