iqna

IQNA

picha
Mahujaji wanaotaka kupiga picha au video kwenye Misikiti Miwili Mitukufu, Msikiti Mkuu wa Makka na Msikiti wa Mtume Muhamad (s.a.w.w) huko mjini Madina, wakati wa Hija lazima wafuate seti mpya ya miongozo iliyotolewa na Wizara ya Hija na Umrah ya Saudi.
Habari ID: 3477176    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/21

TEHRAN (IQNA)- Maelefu ya waumini wamejitokeza katika medani ya Taksim kati kati ya mji wa Istanbul nchini Uturuki jana Ijumaa ambapo walijiunga na Rais Recep Tayyip Erdogan katika uzinduzi wa msikiti mpya. Ujenzi wa msikiti huo wenye uwezo wa kubeba waumini 2,250 ulianza mwaka 2017.
Habari ID: 3473957    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/29

TEHRAN (IQNA) – Mshindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Mpiga picha Bora wa Mandhari mwaka 2020 ametangazwa.
Habari ID: 3473393    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/25

TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Saudi Arabia imewapiga marufuku mahujaji na wafanyaziara kupiga picha au kuchukua video kwa kutumia chombo chochote katika Misikiti Miwili Mitakatifu ya Kiislamu ya Makka na Madina.
Habari ID: 3471279    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/25