iqna

IQNA

erdogan
Jinai za Israel
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kukatwa uhusiano wa kiuchumi na kisiasa wa nchi za Waislamu na utawala wa Kizayuni ndiyo silaha bora ya kukomesha jinai za Wazayuni huko Palestina.
Habari ID: 3478670    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/11

Michezo ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Mkoa wa Konya wa Uturuki unaandaa toleo la tano la Michezo ya Mshikamano wa Kiislamu, ambayo ilizinduliwa rasmi katika sherehe siku ya Jumanne.
Habari ID: 3475604    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/10

Haki za Waislamu
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameilaani Ugiriki kwa madai ya kukiuka mkataba wa amani wa karne moja na kuwakandamiza Waislamu walio wachache katika eneo la Thrace.
Habari ID: 3475539    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/25

Katika mazungumzo na Rais wa Uturuki
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja matukio ya karibuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina kuwa yasiyokubalika na kueleza kuwa: Kuna ulazima wa kufanyika juhudi za kusitisha mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina kupitia msaada wa nchi za Kiislamu na jitihada za kimataifa.
Habari ID: 3475202    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/03

TEHRAN (IQNA)- Jumba la Makumbusho la Ustaarabu wa Kiislamu limezinduliwa kwenye uwanja wa Msikiti wa Grand Camlica, msikiti mkubwa zaidi wa Uturuki, katika wilaya ya Uskudar ya Istanbul.
Habari ID: 3475105    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/09

TEHRAN (IQNA)- Harakati za mapambano ya Kiislamu ambazo zinapignaia ukombozi wa Palestina zimelaani vikali safari ya rais wa utawala haramu wa Israel Isaac Herzog nchini Uturuki wakati huu ambao Israel imeshadidisha hujuma dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3475026    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/10

TEHRAN (IQNA)- Maelefu ya waumini wamejitokeza katika medani ya Taksim kati kati ya mji wa Istanbul nchini Uturuki jana Ijumaa ambapo walijiunga na Rais Recep Tayyip Erdogan katika uzinduzi wa msikiti mpya. Ujenzi wa msikiti huo wenye uwezo wa kubeba waumini 2,250 ulianza mwaka 2017.
Habari ID: 3473957    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/29

Rais Iran katika mazungumzo ya simu na mwenzake wa Uturuki
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Uturuki na kusisitiza kuwa kadhia ya Palestina ni kadhia muhimu zaidi ya pamoja kwa umma wa Kiislamu hivi sasa.
Habari ID: 3473917    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/16

TEHRAN (IQNA) - Wawakilishi wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kusisitiza kwamba, wanategemea kutoka kwa Rais wa Uturuki ujirani mwema na kufanyika juhudi za kuweko umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu na uletaji amani na uthabiti katika eneo la Asia Magharibi na kutangaza kuwa, lugha za kufarakanisha za Erdogan zinashangaza na katu hazikubaliki.
Habari ID: 3473454    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/14

TEHRAN (IQNA) – Mahakama ya Uturuki siku ya Alhamisi ilisikiliza kesi kuhusu Jumba la Makumbusho la Hagia Sophia mjini Istanbul kurejeshwa katika hadhi yake ya msikiti.
Habari ID: 3472926    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/03

TEHRAN (IQNA)- Jumba la Makumbusho la Hagia Sophia mjini Istanbul litageuzwa na kurejea katika hadhi yake ya msikiti, ameamuru Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki.
Habari ID: 3471893    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/29

Kiongozi Muadhamu katika mkutano na rais wa Uturuki
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema hitajio muhimu zaidi katika ulimwengu wa Kiislamu hii leo ni ukuruba zaidi na mshikamano wa nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3471662    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/07

TEHRAN (IQNA)- Rais Reccep Tayyip Erdogan wa Uturuki amekosoa vikali matamshi Mrithi wa Kiti cha Ufalme Saudia Mohammad Bin Salman kuhusu kile alichodai kuwa ni "Uislamu wa misimamo ya wastani."
Habari ID: 3471259    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/12

TEHRAN (IQNA)-Wakuu wa vyuo vikuu vya nchi za Kiislamu wamekutana Ankara, mji mkuu wa Uturuki na kujadili kuundwa Baraza Kuu la Kiislamu la Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3471091    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/27

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhmaa Ali Khamenei amesema katika mazungumzo yake na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki aliyeko safarini hapa nchini kwamba mwamko wa Kiislamu ndiyo sababu kuu ya wasiwasi wa maadui wa Uislamu.
Habari ID: 3108936    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/08

Rais Bashar al-Assad wa Syria amekosoa vikali hatua ya Uturuki ya kuyaunga mkono makundi ya kigaidi na kitakfiri na kubainisha kwamba, Rais wa nchi hiyo Raccep Tayyip Erdogan anayaunga mkono makundi ya kitakfiri kwa ajili ya kuhudumia mabwana zake.
Habari ID: 2930963    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/05

Rais Rajab Tayyib Erdogan amesema Bara Amerika lilivumbuliwa na Waislamu katika karne ya 12 Miladia, karibu karne tatu kabla ya Christopher Columbus kufika hapo.
Habari ID: 1474359    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/17