IQNA

Mwezi wa Ramadhani

Kila siku na Qur'ani: Qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 2

IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya pili ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Kila siku na Qur'ani: Qiraa ya Tarteel ya Juzuu 2

Hili ni mara ya kwanza qiraa hii inasambazwa mitandanoni kwa ajili ya kuinua hali ya kiroho kwa waumini ulimwenguni. Fuatilia IQNA kila siku katika safari hii ya kusoma Qur'ani Tukufu wakati wa mwezi uliobarikiwa wa Ramadhani ili kukamilisha kusoma kitabu kitakatifu kufikia mwisho wa mwezi.