IQNA – Kwa karne nyingi, Msikiti Mkuu wa Omari umesimama kama mlinzi kimya wa historia ya kielimu ya Gaza, hukoo Palestina huku maktaba yake ikihifadhi maandiko ya kale yaliyoandika simulizi za kupanda na kushuka kwa ustaarabu mbalimbali.
Habari ID: 3481992 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/25
IQNA – Chakula cha futari kimeandaliwa katika Msikiti Mkuu wa Al‑Azhar mjini Cairo kwa ajili ya wanafunzi wa kimataifa wa Chuo Kikuu cha Al‑Azhar.
Habari ID: 3481990 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/25
IQNA – Ifuatayo ni qiraa ya tartili ya Juzuu ya Tatu ya Qur’ani Tukufu, ambayo imesomwa na qari mashuhuri wa Iran, Ustadh Qassem Moqaddami. Jiungeni na IQNA kila siku katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu, kwa lengo la kukamilisha au kuhitimisha usomaji wa Qur’ani nzima ifikapo mwisho wa mwezi huu uliobarikiwa.
Habari ID: 3481967 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/21
IQNA-Utawala wa Kizayuni wa Israel umewawekea vizuizi vikali Wapalestina kuingia katika Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) ambao unaukalia kwa mabavu, kwa ajili ya Swala ya Ijumaa ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3481966 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/21
IQNA – Bahari kubwa ya waumini ilijaza Msikiti Mtukufu wa Makka (Masjid al-Haram) siku ya Ijumaa, walipokusanyika kwa ajili ya swala ya Ijumaa ya kwanza katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3481965 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/21
IQNA – Mkurugenzi wa sehemu ya kimataifa ya Maonyesho ya 33 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yaTehran amesema kuwa kuwaenzi wahudumu wa Qur'ani kutoka nchi mbalimbali kutakuwa miongoni mwa programu kuu za sehemu hii ya kimataifa.
Habari ID: 3481961 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/20
IQNA – Ifuatayo ni qiraa ya tartili ya Juzuu ya Pili ya Qur’ani Tukufu, ambayo imesomwa na qari mashuhuri wa Iran, Ustadh Qassem Moqaddami. Jiungeni na IQNA kila siku katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu, kwa lengo la kukamilisha au kuhitimisha usomaji wa Qur’ani nzima ifikapo mwisho wa mwezi huu uliobarikiwa.
Habari ID: 3481960 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/20
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amehudhuria kikao cha kiroho cha Qur'ani katika siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, akijumuika na maqarii na wasomaji mashuhuri wa Iran na kimataifa wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3481959 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/20
IQNA – Mkuu wa Maonyesho ya 33 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran amesema kuwa kuendeleza mtindo wa maisha wa Kiirani-Kiislamu na kuimarisha diplomasia ya Qurani ni miongoni mwa malengo makuu ya toleo hili.
Habari ID: 3481948 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/17
IQNA – Ufalme wa Saudi Arabia umeanzisha mpango wake wa kila mwaka wa Mwezi wa Ramadhani katika ngazi ya kimataifa, unaojumuisha ugawaji wa nakala milioni 2.2 za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3481945 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/16
IQNA-Maonesho ya Ramadhani yajulikanayo kama “FIRam 2026” yamefanyika siku ya Jumamosi katika Uwanja wa Michezo wa Midombo, mjini Cotonou , mji mkuu wa kiuchumi wa Jamhuri ya Benin.
Habari ID: 3481933 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/14
IQNA – Maafisa kutoka misikiti 420 walihudhuria mkutano wa kila mwaka wa Kamati ya Masuala ya Kiislamu ya Jimbo la Songkhla nchini Thailand, kwa lengo la kujiandaa mapema kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3481868 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/30
IQNA – Ghasia za hivi karibuni pamoja na matukio ya kigaidi zimeifanya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuahirishwa, mtaalamu mkongwe wa masuala ya Qurani amebainisha.
Habari ID: 3481818 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/19
IQNA – Kampuni zinazobobea katika huduma za chakula kwa wingi zinakaribishwa kuomba nafasi ya heshima ya kutoa futari katika Msikiti Mtukufu wa Makkah (Masjid al Haram) na Msikiti wa Mtume (SAW), Al Masjid An Nabawi mjini Madinah wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani 2026.
Habari ID: 3481733 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/29
IQNA – Kampuni ya TK Group, mojawapo ya makampuni makubwa nchini Bangladesh, imetangaza mipango ya kuandaa msimu wa pili wa mashindano ya usomaji wa Qur’ani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3481662 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/15
IQNA – Televisheni ya Al-Kawthar imechapisha rasmi tangazo la video la Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Usomaji wa Qur’ani Tukufu mubashara, yatakayopeperushwa hewani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka 2026.
Habari ID: 3481629 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/08
Mawaidha
IQNA – Kufunga Saumu ya Mwezi wa Ramadhani sio tu kunapelekea mwandamu kumcha Mwenyezi Mungu na kujizuia, lakini pia kama ibada ya kiroho, kuna athari nzuri za kiakili na kihisia.
Habari ID: 3480306 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/04
Mtazamo
IQNA – Neno "Ramadhani" katika Kiarabu linamaanisha joto kali la jua. Imenukuliwa kutoka kwa Mtume Mtukufu (SAW) kwamba mwezi huu unaitwa Ramadhani kwa sababu unachoma dhambi na kutakasa mioyo kutoka kwenye uchafu.
Habari ID: 3480290 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/02
Fikra
IQNA – Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni fursa ya kipekee kwa ukuaji wa kiroho, kusafishwa kwa maadili, na kushiriki kwa kina na Qur’ani, anasema Masoud Rastandeh, mwalimu wa Qur’ani na mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Bu-Ali Sina nchini Iran.
Habari ID: 3480285 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/01
IQNA – Jumla ya misikiti 2,385 nchini Qatar imeandaliwa kupokea waumini kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kuanzia Jumamosi ijayo, ambapo matukio na shughuli mbalimbali maalum zitaandaliwa chini ya kaulimbiu "Utiifu na Msamaha".
Habari ID: 3480271 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/26