Maashiqi wa Imam Hussein (AS) wakiwa Karbala
KARBALA (IQNA)- Wapenzi au Maashiki wa Imam Hussein (AS) kutoka sehemu zote za dunia wamefika katika mji wa Karbala nchini Iraq kwa akili ya kushiriki katika maombolezo ya Muharram kwa ajili ya kukumbuka kuuawa shahidi Imamu huyo mtoharifu na masahaba wake 72 katika jangwa la Karbala.