Wananchi wa Iran waomba dua ya ushindi wa wapiganaji wa Kiislamu
IQNA – Wananchi wa Iran, wakionyesha uungaji mkono wao kwa Mapinduzi ya Kiislamu, wameshiriki katika mijumuiko mbali mbali ya kuomba dua kwa ajili ya ushindi na kufanikiwa kwa wapiganaji wa Kiislamu.
copied
https://iqna.ir/H0Ebqm