Maonesho ya 33 ya Kimataifa ya Qur’ani Tehran: Siku ya Nne kwa Picha
IQNA – Maonesho ya 33 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Tehran yanaendelea kufanyika katika Msala wa Imam Khomeini (RA) jijini Tehran, yakivutia makundi mbalimbali ya wanazuoni, vijana, familia na wapenzi wa Qur’ani kutoka ndani na nje ya nchi.