IQNA

Picha za Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds jijini Tehran

IQNA-Sambamba na kuwadia kwa Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, hafla kubwa ya maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds imefanyika leo asubuhi, Ijumaa mjini Tehran na katika maeneo mbalimbali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Hizi hapa ni picha za mjumuiko huo wa kuunga mkono Palestina hapa Tehran ambapo pia Waafrika wanaoishi Iran wameshiriki.
Kishikizo: siku ya quds ، tehran