Bendera Nyeusi yapandishwa katika Haram ya Imam Ridha (AS) Kuomboleza Mauaji katika Hospitali ya Ghaza
TEHRAN (IQNA) - Kufuatia mawimbi ya hivi karibuni ya jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya watu wa Ghaza, hususan shambulio lake katika hospitali iliyoua takriban watu 500, kaburi la Imam Reza (AS) Lilinyanyua bendera nyeusi tarehe 18 mwezi Oktoba.