IQNA – Shorouk Marar ni mwanamke kutoka mji wa Beit Daqo, kaskazini-magharibi mwa al-Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu, ambaye ana kisa cha azma thabiti na imani ya kina.
Habari ID: 3481475 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/05
IQNA – Katika hatua ya mshikamano wa kimazingira na kisiasa, Waislamu wa Kenya walipanda takribani miti 10,000 katika Bustani ya Uhuru jijini Nairobi kwa heshima ya watu wa Palestina wanaokumbwa na dhulma.
Habari ID: 3481458 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/03
IQNA – Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri amebainisha matumaini kuwa Italia itaungana na idadi inayoongezeka ya mataifa ambayo tayari yametambua rasmi taifa la Palestina.
Habari ID: 3481435 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/29
IQNA-Mwandishi wa habari raia wa Uingereza anayejulikana kwa kuunga mkono Palestina amekamatwa nchini Marekani na shirika la Uhamiaji na Forodha (ICE), kufuatia shinikizo kutoka kwa makundi yanayoiunga mkono Israel.
Habari ID: 3481430 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/28
IQNA – Mfungwa wa Ki palestina aliyeachiwa hivi karibuni amefichua mambo manne muhimu yanayochangia kuenea kwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu katika Ukanda wa Gaza, licha ya mzingiro, vita na uharibifu.
Habari ID: 3481424 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/27
IQNA – Mfungwa wa Ki palestina aliyeachiliwa kutoka gereza la utawala wa Kizayuni ameeleza mateso makali na hali isiyo ya kibinadamu inayowakumba wafungwa wa Kiislamu, ikiwemo udhalilishaji wa Qur'an Tukufu na kuzuia adhana na sala za jamaa.
Habari ID: 3481418 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/26
IQNA – Mwakilishi wa harakati ya Jihad ya Kiislamu (Jihad Islami) ya Palestina nchini Iran amesema kuwa mapambano ya ukombozi hayataisha kwa kumalizika kwa vita vya Gaza, akipinga vikali mazungumzo yanayohusu kuvunjwa silaha kwa harakati za upinzani wa Ki palestina .
Habari ID: 3481393 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/21
IQNA-Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu (ICRC) limetangaza kukabidhiwa mateka saba wa kwanza wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3481361 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/13
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran
IQNA-Khatibu wa Swala ya Ijumaaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, miaka miwili baada ya Operesheni kubwa ya Kimbunga cha Al-Aqswa haiba ya utawala wa Kizayuni imejaa msukosuko na mparaganyiko.
Habari ID: 3481350 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/10
IQNA-Harakati ya Kiislamu ya Kupigania Ukombozi wa Palestina, Hamas, imesema iko tayari “kuwaachilia mateka wote Waisraeli, walio hai na waliokufa,” lakini imesisitiza kuwa hakuna utawala wa kigeni utakaoruhusiwa kusimamia Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3481325 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/04
IQNA – Msichana wa Ki palestina aliyejeruhiwa ameweza kuhifadhi Qur'ani Tukufu yote akiwa kitandani hospitalini.
Habari ID: 3481320 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/03
IQNA – Hatua ya utawala wa Israeli kuzuia meli za Msafara wa Kimataifa wa Sumud imezua shutuma kali kutoka kwa serikali na mashirika ya kimataifa kote duniani.
Habari ID: 3481315 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/02
IQNA – Dada wanne wa Ki palestina kutoka kijiji cha Deir al-Quds, kilichopo katika Mkoa wa Ramallah, Ukingo wa Magharibi, wamefanikiwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu yote kwa moyo.
Habari ID: 3481272 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/23
IQNA – Kiongozi wa Harakati za Kiislamu nchini Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky, amesema kumeshuhudiwa ongezeko la mwamko na uungaji mkono kwa Wa palestina katika nchi za Magharibi.
Habari ID: 3481242 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/16
IQNA-Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) limepitisha kwa wingi mkubwa sana wa kura "Azimio la New York" linalotoa mwongozo wa kuchukuliwa "hatua zinazoonekana, katika muda maalumu na zisizoweza kutenduliwa" kuelekea kwenye uundwaji wa Dola la Palestina.
Habari ID: 3481227 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/13
IQNA-Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pamoja na Spika wa Bunge, Mohammad Baqer Qalibaf, wamelaani vikali hujuma ya hivi karibuni ya kijeshi iliyofanywa na Israel dhidi ya Yemen, ambayo imesababisha kuuawa kwa shahidi Waziri Mkuu wa Yemen na mawaziri kadhaa wa serikali ya mapinduzi ya nchi hiyo.
Habari ID: 3481163 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/31
IQNA – Watu kutoka maeneo mbalimbali ya Yemen walifanya maandamano makubwa siku ya Ijumaa kulaani uhalifu wa Israeli dhidi ya Wa palestina na kitendo cha hivi karibuni cha kuchomwa motot nakala ya Qur’an Tukufu nchini Marekani.
Habari ID: 3481160 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/30
IQNA – Maandamano ya kuunga mkono Palestina yalifanyika mjini Copenhagen, mji mkuu wa Denmark, ambapo waandamanaji zaidi ya 10,000 walitisha mwito wa kumaliza vita huko Gaza na kuhimiza Denmark kutambua taifa la Palestina.
Habari ID: 3481135 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/25
IQNA – Kamati za Upinzani za Kawaida (PRC), muungano wa makundi ya Ki palestina , zimelaani mashambulizi ya kijeshi ya utawala wa Israel yaliyolenga miundombinu nchini Yemen.
Habari ID: 3481132 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/25
IQNA – Watu katika miji na miji midogo kote Australia walijitokeza kwa wingi Jumapili kuonyesha uungaji mkono wao wa dhati kwa Palestina na kulaani ukatili wa Israel huko Gaza.
Habari ID: 3481129 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/24