IQNA

Mkutano wa Kiongozi Muadhamu na wageni wa kikao cha Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bait AS

Washiriki wa Mkutano wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bait AS na vilevile wageni wa kikao cha Muungano wa Redio na Televisheni za Kiislamu walikutana na Ayatullahil Udhma Sayyid Khamenei Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumatatu 17, Agosti, Tehran