IQNA

Idul Fitri inakumbusha kuhusu utakasifu wa roho na nafsi ya Mwislamu kutokana na baraka za dhifa ya Mwenyezi Mungu. Tunapaswa kuienzi siku hii kwani n kati ya nukta za pamoja katika Ulimwengu wa Kiislamu. Tunapaswa kuitumia siku hii kuleta umoja katika mataifa ya Waislamu kwa sababu leo hii mataifa ya Waislamu yanahitajia umoja sana. Ayatullah Sayyed Ali Khamenei 4/11/2005