Kujuta Siku ya Qiyamah kuhusu ziyara
Imam Sadiq AS anasema: “Siku ya Qiyama wote watakuwa wanatamani kuwa wangelikuwa katika wale waliowahi kumzuru Imam Hussein AS kwani wataona namna Mwenyezi Mungu atakavyokuwa na muamala mzuri na ulio na ukarimu kwa wale waliowahi kumzuru Imam Hussein AS. Kitabu cha Kamil al-Ziyarat Uk. 135