IQNA

Sambamba na kuwadia Maulid ya Mtume Mtukufu wa Uislamu, Muhammad Al Mustafa SAW, Waislamu katika nchi mbali mbali za Kiislamu na zisizo za Kiislamu duniani hushiriki katika hafla za maulid kwa kuzingatia tamaduni za kieneo.