IQNA

Kandovan ni moja kati ya vijiji vitatu vya jangwani duniani na ni moja ya vivutio vya kitalii katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki nchini Iran. Kijiji hiki kiko karibu na mji wa Osku na kina historia ndefu ya takribani miaka 7,000. Aghalabu ya nyumba za kijiji cha Kandovan zimejengwa kwa muundo wa mzinga wa nyuki katika jangwa la majabali.