IQNA

TEHRAN (IQNA)- Kijiji cha Sayyed Abbas katika wilaya ya Shawur eneo la Shush mkoani Khuzestan kusini magharibi mwa Iran kimekumbwa na mafuriko haribifu kufuatia mvua kubwa zinazoshuhudiwa eneo.