IQNA

Mashindano ya 36 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameanza Jumatano Aprili 10 katika sherehe iliyofanyika katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini MA na yataendelea hadi Aprili 14.