IQNA

Maonyesho ya 27 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yanafanyika katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini MA kuanzia Mei 11-24. Maonyesho hayo yana vitengo mbali mbali na hapa mpiga picha wa IQNA amefanikiwa kutembelea kitengo cha kimataifa cha maonyesho hayo.