IQNA

Matembezi ya Siku ya Kimataifa ya Quds yamefanyika katika Ijumaa ya mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na kushirikisha idadi kubwa ya wananchi ambao wametangaza kuunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina sambamba na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.