IQNA

Kongamano la 'Marekani na Uhaini wa Karne' lilifanyika Julai Mosi katika Ukumbi wa Farabi wa Chuo Kikuu cha Amir Kabir mjini Tehran kwa lengo la kujadili uhaini na jinai mbali mbali za Marekani duniani. Kongamano hilo lilihudhuriwa wataalamu na wasomi Wairani na wa kimataifa.