IQNA

Miaka miwili baada ya oparesehni za kijeshi za kuukomboa mji wa Mosul, Iraq kutoka makucha ya kundi la kigaidi la ISIS (Daesh), wakaazi laki tatu wa mji huo bado hawana makao.