IQNA

Mashindano ya picha bora Zaidi za nujumu mwaka 2019 yamefanyika na Kituo cha Nujumu cha Kifalme cha Greenwich kimetangaza picha zilizoteuliwa katika mashindano hayo.