IQNA

Tarehe 27 Septemba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hujuiunga na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Utalii.

Misimu minne ya Iran pamoja na vivutio vya kimaumbile na kihistoria ni nukta ambazo zimeigeuza Iran kuwa pepo kwa watalii. Kwa munasaba wa siku hii, wapiga picha wa IQNA wameangazia vivutio vya kitalii nchini Iran