IQNA

Tamthilia ya Ta'ziya iliyopewa anuani ya 'Maombolezo kwa ajili ya Uhuru' kumhusu Al-Hurr ibn Yazid bin Ar-Riyahi, mmoja wa masahaba wa Imam Hussein AS inafanyika kuanzia Oktoba 5 hadi 14 katika Bustani ya Nabii Ibrahim AS ambayo pia ni maarufu kama Bustani ya Maji na Moto (Ab-o-Atash) kaskazini mwa Tehran.