IQNA

Sambamba na 28 Safar, siku ya kukumbuka kuaga dunia Mtume Muhammad SAW na kuuawa Shahidi Imam Hassan Mujtaba AS, waombolezaji walikusanyika katika Haram ya Imam Ridha AS, Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran