IQNA

Mkutano wa 11 wa Mazungumzo ya Kidini na Tamaduni ambao umeandaliwa na Shirika la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu la Iran kwa Ushirikiano na Baraza la Vatican la Mazungumzo ya Kidini chini ya anwani ya 'Waislamu na Wakristo; Pamoja katika Kuhudumia Ubinadamu' umefanyika Novemba 11 mjini Tehran