IQNA

Siku ya pili ya Tamasha la Utamaduni na Sanaa la Homan ambalo linaonyesha kazi za watu wenye ulemavu. Tamasha hilo limehudhuriwa na watu wa matabaka mbali mbali wapendao kazi za sanaa na linafanyika katika Akademia ya Sanaa ya Tehran