IQNA

Kiongozi Muadhamu atembelea nyumba ya Shahidi Luteni Jenerali Soleimani Ijumaa usiku na kuonana na familia ya Jenerali huyo shujaa ambapo mbali na kutoa mkono wa rambirambi kwa familia hiyo pia ameipongeza kutokana na mwanajihadi huyo mwenye Ikhlasi kufikia daraja ya juu ya kuuawa shahidi.