IQNA

Katika siku ya aina yake mjini Tehran na harakati ya kihistoria ya watu waumini na wenye kushukuru ambao wameshiriki katika mazishi ya kumuaga Jenerali mkubwa na shujaa wa Kiislamu, Shahidi Haj Qassem Soleimani, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amefika katika Chuo Kikuu cha Tehran na kuongoza Sala ya Maiti ya shahidi huyo adhimu na mtoharifu na pia mpigana jihadi Abu Mahdi la Muhandis na mashahidi wengine ambao waliuawa katika jinai ya utawala wa Marekani.

Ayatollah Khamenei Leads Salat al-Mayyit for Martyr Soleimani