IQNA

Baghdad, mji mkuu wa Iraq, Ijumaa 24 Januari ulishuhudia maandamano ya mamilioni ya wananchi ambao walikuwa wanataka askari vamizi wa Marekani waondoke nchini humo. Waandamanaji waliokuwa wamevaa sanda waliitikia mwito wa Muqtada Sadr, Kiongozi wa Harakati ya Sadr na makundi mengine ya kisiasa na kidini na kujitokeza kuandamana huku wakiwa wamebeba bendera za Iraq