IQNA

Kuongezeka mapigano ya kidini baina ya Waislamu na Wahindi wenye misimamo ya kufurutu adan nchini India katika siku za hivi karibuni kumepelekea watu zaidi ya 40 kupoteza maisha na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa. Aidha katika ghasia hizo ambazo zilianza wakati Waislamu walipoanza kulalamikia sheria mpya ya uraia inayowabagua, Wahindu wenye misimamo mikali wameteketeza moto misikiti kadhaa ambapo pia wamevunjia heshima na kutetekteza moto nakala za Qur'ani Tukufu.
 
Profanation des mosquées et des corans à New Delhi+vidéo et photos