IQNA

Kufuatia kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama kirusi cha corona katika zaidi ya nchi 115 duniani na watu zaidi ya laki moja kuambukizwa ugonjwa huo, hivi sasa wakaazi nchi mbali mbali za dunia wamebuni kila aina ya njia kukabiliana na COVID-19 hasa kupitia uvaaji masji au ufunukaji uso.