IQNA

Mwaka uliopita wa 1398 Hijria Shamsia ulijawa na matukio mengi ambayo hayakuathiri tu nchi kuliko jiri matukio hayo bali hata nchi za eneo na dunia nzima.

Moja ya matukio hayo ni kuzinduliwa mpango wa Kimarekani-Kizayuni wa ‘Muamala wa Karne’, kuuawa kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Wahindi wenye misimamo mikali kuwaua Waislamu nchini India, kuwasilishwa kesi ya kumuuzulu Trump, maandamano nchini Iraq na kujiuzulu waziri mkuu wa nchi hiyo Adel Abdul Mahdi, kutiwa saini mapatano ya amani Afghanistan na kuibuka ugonjwa wa corona ambao umepelekea harakati nyingi duniani kufungwa.

Hapa chini ni picha za matukio hayo yaliyojiri duniani katika mwaka wa 1398 Hijria Shamsia.