IQNA

Katika Qur’ani Tukufu ya Surah Al An-Aa’am, aya ya 95, Mwenyezi Mungu SWT anasema: "Hakika Mwenyezi Mungu ndiye mpasuaji mbegu na kokwa, zikachipua. Humtoa aliye hai kutoka maiti, naye ni mtoaji maiti kutokana na aliye hai. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu. Basi vipi mnageuzwa?"