IQNA

Swala katika Kaaba Tukufu kwa kuzingatia kanuni ya watu kutokaribiana

Watawala wa Saudi Arabia wameruhusu watu wachache washiriki katika sala za Jamaa katika pembizoni mwa Kaaba Tukufu katika Msikiti Mtakatifu wa Makka. Swala hiyo inaswaliwa kwa jamaa na watu wachache ambao pia wanazingatia kanuni ya watu kutokaribiana. Hatua hizo zimechukuliwa kuzuia kuenea ugonjwa wa corona.