IQNA

Msikiti wa Kota Kinabalu, nchini Malaysia

TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa Mji wa Kota Kinabalu ni msikiti wenye mvuto ulio katika jimba la Sabah nchini Malaysia.

Ujenzi wa msikiti huo ulianza mwaka 1989 na una uwezo wa kuwabeba waumini 12,000 na unashabihina na Msikiti wa Mtume SAW mjini Madina. Msikiti huo ulifunguliwa rasmi mwaka 2000.