Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Shirika la Hija na Ziyara za Kidini la Iran amesema maafisa wa Saudi bado hawajajibu malalamiko ya nchi kadhaa juu ya kuongezeka kwa gharama za Hija mwaka huu wa 1443 Hijria Qamaria sawa na 2022 Miladia.
Habari ID: 3475344 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/07
Hija
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema inafanya mazungumzo na Saudi Arabia kuhusu kuruhusiwa kutekeleza ibada ya Hija Wairani waliopata chanjo iliyotegenezwa ndani ya Iran.
Habari ID: 3475265 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/19
TEHRAN (IQNA)- Baraza la Kiislamu la Singapore (Muis) limewataka wale ambao bado hawajapata chanjo ya COVID-19 wajizuie kushiriki katika Sala ya Ijumaa kutokana na sababu za kiafya.
Habari ID: 3474863 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/29
TEHRAN (IQNA)- Kuingia msikitini ukiwa unafahamu kuwa unaugua COVID-19 ni dhambi , amesema msomi wa Kiislamu huku akiwataka waumini wazingatia kanuni za kuzuia kuenea COVID-19.
Habari ID: 3474850 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/25
TEHRAN (IQNA)-Oman imetangaza hatua ambazo zinaanza kutekelezwa Januari 23 kufuatia ongezeko kubwa la maambukizi ya COVID-19.
Habari ID: 3474841 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/23
TEHRAN (IQNA) – Shule za Qur'ani zimefungwa kwa muda wa siku 10 kufuatia ongezeko kubwa la maambukizi ya COVID-19.
Habari ID: 3474835 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/22
TEHRAN (IQNA)- Watu wa Morocco wametoa wito kwa Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu nchini humo irejeshe Misahafu katika misikiti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3474805 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/14
TEHRAN (IQNA)-Misikiti nchini Kuwait imeanza kutekeleza kanuni za kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 baada ya maambukizi kuongezeka nchini humo.
Habari ID: 3474778 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/07
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Kenya imeazimia kushirikiana na misikiti pamoja na makanisa nchini humo ili kuongeza idadi ya wale wanaodungwa chanjo ya COVID-19 nchini humo.
Habari ID: 3474765 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/04
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Jamia mjini Glasgow, Scotland sasa ni kituo cha kuwadunga watu dozi ya tatu ya chanjo ya COVID-19.
Habari ID: 3474736 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/28
TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu nchini Iran Ayatullah Nasser Makarem Shirazi amesema Uislamu unalipa uzito mkubwa suala la afya ya mwanadamu.
Habari ID: 3474728 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/27
TEHRAN (IQNA)- Misikiti kote Saudi Arabia imetakiwa kuchukua hatua kali za kuhakikisha kuwa wote wanaoshiriki katika ibada wanatekeleza kanuni za kukabiliana na COVID-19.
Habari ID: 3474717 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/24
TEHRAN (IQNA)- Saudi Arabia imeripoti kesi ya kwanza ya aina mpya ya COVID-19 ijulikanayo kama Omicron ambayo imegundulika katika raia wa nchi hiyo aliyerejea kutoka eneo la kaskazini mwa Afrika.
Habari ID: 3474627 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/01
TEHRAN (IQNA) Wakuu wa afya nchini Kosovo wanashirikiana na viongozi wa Kiislamu katika kuwashawishi watu wengi zaidi wapate chanjo ya COVID-19.
Habari ID: 3474582 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/20
TEHRAN (IQNA)- Sala ya Ijumaa imeruhusiwa tena nchini Brunei baada ya kusitishwa kwa muda wa miezi mitatu.
Habari ID: 3474580 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/20
TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Uturuki wameamua kupunguza makali ya sheria ambazo zinatumika misikitini katika wakati huu wa janga la COVID-19.
Habari ID: 3474553 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/13
TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu wametangaza kuwa, wanawake sasa wataruhusiwa tena kusali misikitini baada ya maeneo yao kufungwa kwa muda kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3474539 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/10
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Kuwait imetangaza kuwa darsa za Qur’ani na kidini pamoja na harakati nyingine za kiutamaduni zitaruhusiwa tena ndani ya misikiti.
Habari ID: 3474519 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/05
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu nchini Misri imetangaza kuwa darsa za kuhifadhi Qur'ani ndani ya misikiti kwa kuhudhuria ana kwa ana waalimu na wanafunzi zitaanza tena kote katika nchi hiyo.
Habari ID: 3474496 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/31
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Qatar imesema wanafunzi wa kiume wanaweza kurejea tena katika vituo vya kufunza Qur'ani Tukufu misikitini kuanzia Novemba Mosi.
Habari ID: 3474492 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/30