IQNA

TEHRAN (IQNA) – Waktristo kote dunaini wanajitayarisha kwa ajili ya sherehe za Krismasi kote duniani huku janga la COVID-19 likiwa bado ni tatuzi kubwa.

Wengi wanajitayarisha kuadhimisha siku hiyo kwa kuzingatia kanuni za kiafya za kuzuia kuenea COVID-19. Aghalabu ya Wakristo huamini kuwa Nabii Issa Masih (Yesu), Rehema na Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake, alizaliwa tarehe 25 Disemba na siku hivyo siku hiyo ni maarufu kama siku ya Krismasi.

 

 

Kishikizo: krismasi ، wakristo