iqna

IQNA

krismasi
Uhusiano wa Waislamu na Wakristo
IQNA - Msikiti mmoja huko Abbottabad uliandaa sherehe ya Krismasi kwa watoto wa Kikristo, ambapo wanafunzi Waislamu wa madrassa walikabidhiwa mabegi ya shule na zawadi.
Habari ID: 3478101    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/27

Ujumbe
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuwa, wale wote wanaodai kwamba ni wafuasi wa Nabii Issa Masih (as) hawapaswi kuiunga mkono Israel na mauaji yake dhidi ya watoto huko katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478091    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/25

Uislamu na Ukristo
TEHRAN (IQNA) – Katika mnasaba wa Krismasi, ambayo ni siku ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa Nabii Isa Masih bin Maryam-Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake-,, qari wa Iraq alisoma aya za Sura Al Imran ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476322    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/28

Siku Kuu ya Krismasi
TEHRAN (IQNA) – Katika mnasaba wa siku ya kuzaliwa Nabii Isa ibn Maryam –Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake-AS-, maonyesho ya kaligrafia yenye maandishi ya maandishi kuhusu Bibi Maryam (SA) yamezinduliwa na Shirika la Qur'ani la Wanaakademia wa Iran.
Habari ID: 3476305    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/25

TEHRAN (IQNA)- Msomi mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Al Azhar amezitaja kuwa zisizo na msingi Fatwa za kupiga marufuku Waislamu kuwatumia Wakristo salamu za Krismasi.
Habari ID: 3474771    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05

TEHRAN (IQNA)- Mcheza soka mahiri wa Misri Mohammad Salah ametuma ujumba wa salamu za Krismasi katika ukurasa wake wa Instagram akiwa na mke na watoto wake wawili.
Habari ID: 3474727    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/26

Krismasi
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe wa pongezi kwa Kingozi wa Kanisa Katoliki Duniani na Wakristo wote duniani kwa mnasaba wa maadhimisho ya kukumbuka kuzaliwa Nabii Issa , amani ta Mwenyezi Mungi iwe juu yake –AS-na amekutaja kuzaliwa kwa Mtume huyo wa Mwenyezi Mungu kuwa ni fursa ya kukumbuka ruwaza njema ya kuwapenda wanadamu na kutoa bishara njema kwa watu wanaodhulumiwa na kukandamizwa.
Habari ID: 3474715    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/24

TEHRAN (IQNA)- Wakristo katika nchi mbali mbali duniani wamesherehekea siku ya kuzaliwa Nabi Isa Masih-Amani Ya Mwenyezi Mungi Iwe Juu Yake- ambayo ni maarufu kama siku ya Krismasi.
Habari ID: 3473497    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/27

TEHRAN (IQNA) – Taasisi ya Darul Qur'an ya Ujerumani imesambaza klipu ya qiraa ya Qur'ani kumhusu Nabii Isa Masih-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake- ambaye Wakristo wengi wanaamini alizaliwa Disemba 25 katika siku ambayo ni maarufu kama Krismasi.
Habari ID: 3473494    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/26

TEHRAN (IQNA) – Waktristo kote dunaini wanajitayarisha kwa ajili ya sherehe za Krismasi kote duniani huku janga la COVID-19 likiwa bado ni tatuzi kubwa.
Habari ID: 3473481    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/22

TEHRAN (IQNA) -Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono wa kheri na pongezi kwa Wakristo kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Nabii Isa Masih (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-) inayoadhimishwa leo na ambayo ni maarufu kama Krismasi.
Habari ID: 3472303    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/25

Kwa mnasaba wa Krismasi
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewanasihi wafuasi wa dini ya Kikristo wafungamane na vitendo vyema kama walivyoelekezwa na Nabii Issa Masih (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-).
Habari ID: 3472302    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/25

TEHRAN (IQNA)- Waislamu katika mji wa Liverpool nchini Uingereza wanagawa misaada ya chakula kwa watu ambao hawana chakula katika kipindi cha Krismasi ambacho huandamana na baridi kali mjini humo.
Habari ID: 3471784    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/23

TEHRAN (IQNA)- Sheikhe Mkuu wa Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri, Sheikh Ahmed al-Tayeb amemtumia salamu za Krismasi, Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani.
Habari ID: 3471782    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/22

Dar al-Ifta ya Misri
TEHRAN (IQNA)- Huku Wakristo wakikaribia kusherehekea uzawa wa Nabii Isa AS (Yesu) katika siku ya Krisimasi na pia mwaka mpya Miladia, Taasisi ya Dar al-Ifta ya Misri imesema inajuzu au ni sawa kwa Waislamu kuwapongeza wasiokuwa Waislamu kwa munasaba wa siku kuu zao na kwamba hilo ni kwa mujibu wa mafundisho ya dini tukufu ya Kiislamu.
Habari ID: 3471773    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/16

IQNA: Waislamu katika mji mkuu wa Uingereza, London wamekusanya tani nyingi za chakula kwa ajili ya kuwasaidia mayatima na watoto wa mitaani katika kipindi hiki cha sherehe za kufunga mwaka.
Habari ID: 3470749    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/19