IQNA

Vipepeo katika eneo la Kars, Uturuki

TEHRAN (IQNA) -Kars ni mkoa ulioko kaskazini mashariki mwa Uturuki. Mkoa huo unapakana na Georgia na Armenia na ni eneo lenye milima na mandhari zenye mvuto ambazo huvutia watalii.
Mji mkuu wa mkoa huo ni Sariqamis na ni maarufu kwa vipepeo na maua maridadi.