IQNA

TEHRAN (IQNA)- Warsha ya kimataifa yenye anuani ya , "Mahitajio ya Umoja wa Kiislamu Katika Dunia ya Leo' limefanyika Alhamisi mjini Tehran.

Kati ya waliohutubu katika kongamano hilo ni Sayyed Hassan Khomeini, Mfawidhi wa Haram ya Imam Khomeini MA.