IQNA – Mwanazuoni mashuhuri kutoka Pakistan amesema kwamba njia muhimu zaidi ya kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel ni kupitia umoja wa Ulimwengu wa Waislamu.
Habari ID: 3481278 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/24
IQNA – Mwanazuoni na mwanaharakati kutoka Malaysia ametoa wito kwa Waislamu kote duniani kuonesha mshikamano kwa vitendo badala ya maneno, akisisitiza kuwa Qibla ya pamoja inapaswa kuwa msingi wa mshikamano wa Ummah.
Habari ID: 3481275 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/23
IQNA – Mwanasiasa na mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Iran ametoa wito kwa nchi zenye Waislamu wengi kuunda umoja wa kisiasa na kiuchumi ili kuimarisha msimamo wao wa pamoja dhidi ya miungano ya mataifa ya Magharibi kama vile NATO na Umoja wa Ulaya.
Habari ID: 3481270 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/22
IQNA – Mwanaharakati kutoka Malaysia amesema kuwa mataifa ya Kiislamu yanapaswa kuangazia mambo yanayowafungamanisha na kushikamana kukabiliana na changamoto za pamoja.
Habari ID: 3481257 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/20
IQNA – Sheikh Abdullah Daqaq, Mkurugenzi wa Chuo cha Kiislamu cha Bahrain kilichoko Qom, amesema kuwa Mtume Muhammad (SAW) ni rehema kwa wanadamu wote, na kwamba umoja wa kweli katika ulimwengu wa Kiislamu unategemea kushikamana na mafundisho yake.
Habari ID: 3481252 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/19
IQNA – Mwenyekiti wa Baraza la Wasomi wa Rabat Muhammadi nchini Iraq amesema kuwa umoja wa Kiislamu sasa ni jambo la lazima kutokana na changamoto nzito zinazoukabili ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3481245 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/17
IQNA – Kiongozi wa Harakati za Kiislamu nchini Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky, amesema kumeshuhudiwa ongezeko la mwamko na uungaji mkono kwa Wapalestina katika nchi za Magharibi.
Habari ID: 3481242 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/16
IQNA – Hujjatul-Islam Ali Abbasi, mjumbe wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu nchini Iran, amesema kuwa madola ya kikoloni ya Magharibi yaliendeleza sera zao katika maeneo ya Waislamu kupitia sababu kuu mbili: kuporomoka kwa elimu miongoni mwa Waislamu na mgawanyiko ndani ya jamii za Kiislamu.
Habari ID: 3481236 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/15
IQNA – Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amezitaka nchi za Kiislamu kukata kabisa uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel, kabla ya mkutano wa dharura utakaofanyika Doha kufuatia shambulizi la hivi karibuni la Israel dhidi ya Qatar.
Habari ID: 3481234 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/15
IQNA – Katibu wa Baraza Kuu la Mapinduzi ya Kiutamaduni la Iran amesema kuwa umoja wa Waislamu ni muhimu si tu kwa ajili ya kujilinda, bali pia kwa ajili ya kuunda ustaarabu mpya wa Kiislamu.
Habari ID: 3481233 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/14
IQNA – Mkutano wa 39 wa Umoja wa Kiislamu umehitimishwa Tehran, Iran kwa tamko la mwisho lililoangazia kuwa mshikamano wa Waislamu ni hitajio lisilokwepeka linalopaswa kutekelezwa kwa vitendo.
Habari ID: 3481216 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/11
IQNA – Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametoa wito kwa mataifa ya Kiislamu kuondoa migawanyiko ya ndani na kusimama kwa umoja, akisema kuwa mshikamano wa kweli pekee ndio unaoweza kuwazuia maadui wasivunje haki za Waislamu.
Habari ID: 3481202 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/08
IQNA-Chanzo cha kuigwa kutoka Iran, Ayatullah Mkuu Nasser Makarem Shirazi, amesisitiza haja ya ulimwengu wa Kiislamu kurejea katika kanuni ya msingi ya umoja.
Habari ID: 3481201 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/08
IQNA-Hujjatul Islam Hamid Shahriari, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukaribisha Madhehebu za Kiislamu (WFPIST), alifanya mkutano na waandishi wa habari mnamo Septemba 6, 2025, mjini Tehran, kutangaza rasmi ratiba na vipengele vya Mkutano wa 39 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3481196 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/07
IQNA – Akizungumzia heshima ya binadamu, haki, na usalama kama nguzo kuu tatu za umoja wa Kiislamu, mwanazuoni mwandamizi wa Kiirani amesema kuwa Palestina ni alama au nembo ya mshikamano wa kimataifa.
Habari ID: 3481190 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/06
IQNA – Mbunge kutoka Iran ameelezea Hija kama fursa muhimu ya kukuza umoja miongoni mwa Waislamu duniani na kuimarisha juhudi za pamoja dhidi ya changamoto za pamoja.
Habari ID: 3480748 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/27
IQNA – Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kuwa mshikamano wa kweli kati ya mataifa ya Kiislamu utayafanya kuwa na nguvu zaidi mbele ya maadui.
Habari ID: 3480702 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/18
IQNA – Taathira chanya ya Hija katika kuimarisha umoja wa Waislamu sio ya eneo maalum wala ya muda mfupi, amesema mtaalamu na mchunguzi.
Habari ID: 3480663 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/10
IQNA--Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei, amesema kuwa lengo la Mwenyezi Mungu katika kwa kuweka ibada ya Hija ni kuwasilisha kielelezo kamili na kinachoelekeza namna ya kuendesha maisha ya binadamu, na akaongeza: muundo na sura ya dhahiri ya ibada hii ni ya kisiasa kabisa, huku maudhui yake yakiwa ya kiroho na ya ibada, ili kuhakikisha manufaa kwa wanadamu wote.
Habari ID: 3480637 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/04
Baraza la Idi
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya kislamu, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesema kuimarika heshima ya Uislamu na kukabiliana na dhulma na uonevu wa madola makubwa vinategemea umoja na utambuzi wa Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3480477 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/31