IQNA

TEHRAN (IQNA)- Msikiti Gogceli katika mkoa wa Samsun nchini Uturuki ulijengwa takribani miaka 800 iliyopita.

Moja ya nukta za kipekee katika ujenzi wa msikiti huo ni kuwa umejengwa kwa kutumia mbao lakini hakuna msumari wowote uliotumika kuunganisha mbao hizo.