IQNA

Usiku wa kwanza wa Fainali ya Mashindano ya Kitaifa ya Iran + PICHA

TEHRAN (IQNA) - Fainali ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza Jumatatu mjini Tehran.