IQNA

KARAJ (IQNA)- Duru ya kwanza ya Maonyesho ya Komamanga ya Karaj magharibi mwa Tehran inafanyika katika Hifadhi Ndogo ya Kitaifa ya Iran. Katika maoneysho hayo kuna aina mbali mbali za komamanga na sanaa za mikono zinazohusiana na komamanga.