IQNA

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa mashindano ya 10 ya kila mwaka ya upigaji picha chini ya maji wametangazwa. Mashindano hayo huandaliwa na Jumuiya ya Muongozo wa Upigaji picha chini ya maji.