IQNA

Msikiti wa Jamia wa Tabriz, Iran

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Jamia wa Tabriz ni moja kati ya majengo ya kihistoria katika mji huo wa kaskazini maghribi mwa Iran.

Msikiti huo ulijengwa wakati wa Ufalme wa Waseljuki katika karne za 11 na 12 Miladia na umekarabatiwa mara kadhaa hadi wakati wa zama za Ufalme wa Waqajari.