TEHRAN (IQNA)- Kamati ya Istihlal (kuutafuta mwezi mwandamo) ya Ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ilianzisha jitihada za kutafuta mwezi mwandamo wa Ramadhani Ijumaa mjini Qum
Wataalamu hao hawakuweza kuuona mwezi mwandamo na hivyo leo Jumapili imekuwa siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani nchini Iran.