Amali za usiku wenye fadhila wa Laylatul Qadr zafanyika katika Iran ya Kiislamu
Amali za usiku mtukufu wa kwanza wa Laylatul Qadr zimefanyika katika pembe zote za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambapo umati mkubwa wa waumini umeshiriki ibada za usiku huu mtukufu huku waumini wakizingatia kanuni za kuzuia maambukizi ya corona.